stars of dar

NBC Garden / War Memorial Garden


“Nimoja kati ya sehemu za wazi chache jijini zilizohifaziwa vizuri. Bustani ya NBC inaonekana vizuri baada ya kutunzwa na benki ya Taifa ya biashara. Hii inaweza ikawa mojawapo ya njia bora ya kutunza maeneo ya wazi.”

” It is one of the few well maintained public spaces in the city. The NBC garden looks good after being maintained by the National Bank of Commerce. This could be a solution for other public spaces.”  

- Ezikiel Moshi 


Click here to view full banner.

Exim Towers


Ubunifu wa jengo la Exim ina aina yake ya staili yake asilia na inakidhi mpaka kiwango cha kimataifa.”

"The design of Exim towers is a search for a localised international style, a distinct building but up to international standards.”

- John Kelly


Click here to view full banner.

Saint Joseph Cathedral Building

Hatuna budi kuwa na tabia ya utunzaji na ukarabati mzuri wa majengo yetu kama ilivyo mfano wa kanisa la Mtakatifu Joseph.”

"We should restore the habit of good maintenance, St. Joseph is a good example for that!”

- Mbaraka Igangula


Click here to view full banner.

Stars of Dar - Portrait of Mwengue

Kariakoo Market Building


Soko linawakilisha utamaduni asilia na watu. Ni soko lilirobuniwa kama  kivuli cha miti, Linahudumia kila mtu Dar es salaam.”

The market breathes the local culture and people; designed as a market in the shade of the trees, it serves about everyone in Dar es Salaam.”

 - Njenje Band


Click here to view full banner.

Coco Beach


“Watu wote wa Dar, bila kujali nini historia, uhuru, makutano na husabahiana hapa. Tangu hapo ni sehemu pekee ambapo kipindi cha siku za mapumziko hujaa watu, sitoacha kwenda hata kidogo.”

“All people of Dar, no matter what background, leisure, meet and greet here. Since it is the only place, during the weekends it is overcrowded. I am not going anymore…

- Mrisho Mpoto


Click here to view full banner.

Karimjee Hall


"Ukumbi wa Karimjee ni alama ya demokrasia, ni jengo la wananchi wa Dar es Salaam."

Karimjee Hall is a symbol for democracy in Tanzania, a building for the people of Dar es Salaam”

- Shabani Mwatawala 


Click here to view full banner.

Star of Dar - Portrait of Posta

Tanganyiaka Library Building 

Ni jengo linalowakilisha busara za vijana wa kipindi hicho. Majengo ya katikati ya mji yamesheheni hadithi kuhusu historia ya Tanzania, ni muhimu yakiheshimiwa.” 

It is a building standing for the wisdom of the young nation at that time. The buildings of the city centre are full of stories which tell the history of Tanzania, it is important to respect them.”

 - Abdu Simba


Click here to view full banner.